Mwanahabari wa kituo cha Clouds FM Shaffih Dauda amejitoa kwenye uchaguzi mkuu wa TFF utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu.
Kuelekea uchaguzi mkuu Shaffih Dauda alikuwa akigombea nafasi ya Ujumbe hata hivyo jana alikamatwa na Takukuru kwa tuhuma za Rushwa.
Shaffih ametangaza kuwa hatawania nafasi hiyo kutokana na kufanyiwa figisu.

Comments
Post a Comment