Mshambuliaji wa Ubelgiji Romelu Lukaku amesema kuwa hakufikiria mara mbili baada ya kupokea ofa ya kutua United.
Tayari mchezaji huyo amefaulu zoezi la vipimo na muda wowote kuanzia sasa atatangazwa kuwa mchezaji rasmi wa Manchester United.
Lukaku aliongeza kuwa ni sehemu ya mafanikio na heshima kuitumikia timu yenye kubwa kama Manchester United duniani.


Comments
Post a Comment