Timu ya Simba imefanikisha usajili wa Erasto Nyoni ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili.
Nyoni Ameshindwa kuendelea na Azam FC baada ya kumaliza mkataba wake kwenye klabu hiyo.
Mchezaji huyo aliyeng'ara michuano ya COSOFA anasifika kutokana na uwezo wake wa kucheza nafasi tofauti uwanjani.
Comments
Post a Comment