Aliyekuwa mchezaji wa Azam FC Ramadhani Singano 'Messi' atajiunga na Difaa Al Jadida ya Morocco.
Tayari Singano amemalizana na Al Jadida ambayo ilishika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu nchini humo nyuma ya Raja Casablanca.
Singano aligoma kusaini mkataba mpya na Azam FC kutokana na kushushwa kwa dau la usajili na mshahara wake.

Comments
Post a Comment