Timu ya Taifa ya Tanzania imechemsha kusonga mbele kusaka tiketi ya kufuzu michuano ya CAN kwa wachezaji wa ndani dhidi ya Rwanda.
Stars ilikubali sare tasa ambayo haina mabao na hivyo kuondolewa mashindanoni baada ya kufungwa bao la ugenini katika mchezo wa kwanza.
Katika mchezo wa kwanza uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Stars ililazimishwa sare ya bao 1-1 na Rwanda.


Comments
Post a Comment