Mshambuliaji Jerry Tegete amejiunga na timu ya Majimaji ya Songea kwa mkataba wa miaka miwili.
Mchezaji huyo aliyemaliza mkataba wake Mwadui FC amesema kuwa ana furaha kubwa kujiunga na kikosi hicho cha kalimangonga Ongala.
Pia mshambuliaji aliwahi kuwa mwajiliwa wa Klabu Yanga ambao ndiyo vinara wa ligi kuu Tanzania.

Comments
Post a Comment