Mshambuliaji wa Atletico Madrid Fernando Torres amesaini ameongeza mwaka kwenye mkataba wake na ataendelea kuitumikia timu hiyo.
Mkataba wa Torres mwenye miaka 33 utamalizika Juni 2018 ndani ya timu hiyo iliyomkuza mshambuliaji huyo kisoka.
Torres alikuwa akihusishwa kuondoka nchini na kwenda kucheza soka katika nchi nyingine lakini hata hivyo ameamua kubaki Vicente De Calderon kwa mwaka mwingine.

Comments
Post a Comment