Timu ya Manchester imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kushoto Benjamin Mendy ambaye amesaini miaka 5 kwa ada ya uhamisho wa pauni 49.2 milioni akitokea Monaco ya Ufaransa.
Mendy mwenye miaka 23 alikamilisha zoezi la vipimo hapo jana na kusaini mkataba na Man city ambayo imeweka kambi Los Angels Marekani.
Mendy anaingia mwenye Orodha ya mabeki watatu waliosajiliwa na Pep Gurdiola mpaka sasa akiwemo Danilo na Kyle Walker.

Comments
Post a Comment