Dirisha kubwa la usajili hufunguliwa kila mwaka kuanzia Juni 9 hadi Agosti 31 na wachezaji mbali mbali wamekuwa wakisajiliwa na wengine kuuzwa au kuachwa na timu zao. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji ambao waeingia na kutoka kwenye ligi ya England.
ARSENAL
waliosajiliwa
Alexandre Lacazatte-Lyon, hakuna ada rasmi
Sead Kolasinac-Schalke, huru
Walioondoka
Yaya Sanogo-ameachwa
Stefan O'Connor-ameachwa
Kristopher De Graca-ameachwa
Kostas Pileas-ameachwa
Takuma Asano-Stuttgart, mkopo
Wojciech Szczesny-Juventus, pauni 14 milioni
BOURNEMOUTH
Waliosajiliwa
Asmir Begovic-Chelsea, gharama haijawekwa wazi
Jermaine Defoe-Sunderland, huru
Nathan Ake-Chelsea, pauni 20 milioni.
Walioondoka
Callum Backley-ameachwa
BRIGHTON
Pascal Gross-Ingostadt, ada haijawekwa wazi
Josh Kerr-Celtic ada haijawekwa wazi
Mathew Ryan-Valencia, ada haijawekwa wazi
BURNLEY
Waliosajiliwa
Jon Walters-Stoke City, ada hajawekwa wazi
Jack Cork-Swansea, ada haijawekwa wazi
Charlie Taylor-Leeds, majaribio
Waliouzwa
Michael Kean-Everton, pauni 30 milioni
Joe Barton-ameachwa
CHELSEA
Waliosajiliwa
Alvaro Morata-Real Madrid, pauni 70 Milioni.
Willy Caballero-Man city, huru
Antonio Rudiger-Roma, pauni 34 milioni
Tiemoue Bakayoko-Monaco, pauni 40 milioni.
Walioondoka
Juan Cuadrado-Juventus, pauni 17.3 milioni
Christian Atsu-Newcastle, pauni 6 milioni
Asmir Begovic-Bouremouth, ada haijawekwa wazi
Dominic Solanke-Liverpool, Huru
John Terry-Aston Villa, huru
Nathan Ake-Bournemouth, pauni 20 milion
Bertrand Traore-Lyon, pauni 8.8milioni
CRYSTAL PALACE
Waliosajiliwa
Ruben Loftus-Cheek-Chelsea, mkopo
Jairo Riedwald-Ajax, ada haijawekwa wazi
Walioondoka
Steven Mandanda-Mersaille, ada haijawekwa wazi
EVERTON
Waliosajiliwa
Wayne Rooney-Man Utd, ada haijawekwa wazi
Jordan Pickford-Sunderland, pauni 30 milioni
Davy Klaassen-Ajax, pauni 23.6 milioni
Sandro Ramirez-Malaga, pauni 5.25 milioni
Cuco Martina-Southampton, huru
Walioondoka
Romelu Lukaku-pauni 90 milioni
Tom Cleverly-Watford, ada haijawekwa wazi
Arouna Cone-Sivasspor, huru
Gerard Deulofeu-Barcelona, pauni 10 milioni
HUDDERSFIELD
Walisajiliwa
Aaron Mooy-Man city, pauni 8 milioni
Tom Ince-Derby County, pauni 10 milioni
LEICESTER CITY
Waliosajiliwa
Harry Maguire-Hull city, pauni 17 milioni
Sam Hughes-Chester, ada haijawekwa wazi
Vicente Iborra-Sevilla, pauni 12 milioni
Eldin Jakupovic-Hull City, ada haijawekwa wazi
Walioondoka
Ron-Robert Zieler-Stuttgart, ada haijawekwa wazi
LIVERPOOL
Waliosajiliwa
Domic Solanke-Chelsea, huru
Mohamed Salah-Roma, pauni 34.3 milioni
Andy Robertson-Hull City, pauni 10 milioni
Walioondoka
Andre Wisdom-Derby, ada haijawekwa wazi
Kevin Stewart-Hull city, ada haijawekwa wazi
MANCHESTER CITY
Waliosajiliwa
Benjamin Mendy-Monaco, pauni 49.2 milioni
Danilo-Real Madrid, pauni 26.9 milioni
Bernado Silva-Monaco, pauni 43 milioni
Ederson-Benifica, pauni 34.7 milioni
Kyle Walker-Tottenham, Pauni 50 milioni
Douglas Luiz-Vasco da Gama, ada haijawekwa wazi
Walioondoka
Pablo Zabaleta-West Ham, huru
Gael Clichy-Instanbul Bakaksehir
Jesus Navas-ameachwa
Willy Caballero-Chelsea, huru
Bacary Sagna-ameachwa
Nolito-Sevilla, pauni, ada haijawekwa wazi.
Joe Hart-West Ham, huru
MANCHESTER UNITED
Waliosajiliwa
Victor Lindelof-Benifica, pauni 30.7 milioni
Romelu Lukaku-Everton, Pauni 90 milioni
Walioondoka
Zlatan Ibrahimovic-ameachwa
Wayne Rooney-Everton, ada haijawekwa wazi
Adnan Januzaj-Real Sociedad, ada haijawekwa wazi
NEWCASTLE
Waliosajiliwa
Christian Atsu-Chelsea, pauni 6.3 milioni.
Florian Lejeune-Eibar, pauni 8.6 milioni.
Jacob Murphy-Norwich, Pauni 12 milioni
Javier Manquillo-Atletico Madrid.
Walioondoka
Florian Thauvin-Mersaille, 9.8 milioni.
Yoan Gouffran-Goztepe, huru
Sammy Ameobi-Bolton, huru.
SOUTHAMPTON
Waliosajiliwa
Jan Bednarek, Lech Poznan,
Walioondoka
Jay Rodriquez-West Brom
Cuco Martina-Everton
STOKE CITY
Waliosajiliwa
Darren Fletcher, West Brom, Huru
Josh Tymon
Walioondoka
Jon Walters-Burnely
Shay Given-ameachwa
Glenn Whelan-Aston Villa
Marko Arnautovc-West Ham
SWANSEA
Waliosajiliwa
Roque Mesa-Las Palmas, pauni 11 milioni.
Walioondoka
Jack Cork-Burnely
TOTTENHAM
hakuna aliyesajiliwa
Walioondoka
Kyle Walker-Man city, pauni 50 milioni
WATFORD
Waliosajiliwa
Tom Cleverly-Everton
Walioondoka
Mario Suarez-Guizhou Hengfeng Zhicheng FC
WEST HAM
Waliosajiliwa
Pablo Zabaleta-Man city, huru
Joe Hart-Man city, mkopo.
Marko Arnautovic-Stoke city, pauni 25 milioni
Javier Hernandez-Bayer Leverkusen, pauni 16 milioni.
Walioondoka
Darren Randolph-Middlesbrough
Reece Oxford-Borrusia Monchengladbach, mkopo
Alvaro Arbeloa-amestaafu
Enner Valencia-Tigres

Comments
Post a Comment