Mapema leo Alvaro Morata amefuzu vipimo kujiunga na Chelsea, raia Huyo wa Hispania ataigharimu timu hiyo kiasi cha £60 milioni na kuongoza kwenye orodha ya washambuliaji wenye gharama zaidi Chelsea.
Mbali na Morata pia washambuliaji wafuatao wanafata kwenye orodha hii
Fernando Torres (£50 milioni) kutoka Liverpool, England.
Andry Shevishenko (£39 milioni) kutoka AC Milan, Italy.
Mitchy Batshuay (£33 milioni) kutoka Mersaille, Ufaransa.

Comments
Post a Comment