Wayne Rooney kutua Tanzania leo.


Mshambuliaji mpya wa timu ya Everton Wayne Rooney anatarajiwa kutua nchini Tanzania kwa ajili ya mchezo wa kirafiki na Gor Mahia kutoka Kenya.

Mechi hiyo itachezwa kesho katika uwanja wa Taifa ambapo mwamuzi mwenye beji ya FIFA Israel Nkongo.

Mchezo huo umeandaliwa na kampuni ya Sportpesa ambayo ndiyo inadhamini timu hizo.

Comments