Yanga yaja na ATN, Ajib amaliza kila kitu.


Klabu ya Yanga huenda ikaja na mchanganyiko mpya katika safu ya ushambuliaji itakayoundwa na Ajib, 
Tambwe na Ngoma (ATN).

Ibrahim Ajib amemaliza utata baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili katika klabu ya Yanga kwa dau la milioni 70.

Baada ya MTN (Msuva, Tambwe, Ngoma) 
Yanga huenda ikatikisa tena na mchanganyiko wa ATN ambao utaundwa na Ibrahim Ajib, Amis Tambwe na Donald Ngoma.

Comments