Chelsea imeibuka kidedea katika uwanja wa Wembley baada ya kuilaza vibaya Tottenham kwa kuichapa bao 2-1.
Marcos Alonso ameibuka shujaa baada ya kufunga bao zote mbili katika dakika ya 24 na dakika ya 88 ya mechi hiyo.
Chelsea ilipoteza mchezo wa ufunguzi dhidi ya Burnley wiki iliyopita baada ya kuchezea kichapo cha mabao 3-2.

Comments
Post a Comment