Liverpool imetoa nje ofa ya £100 milioni ambayo imewekwa mezani na Barcelona kumsajili kiungo Phelipe Coutinho.
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp bado ameendelea kuwa na msimamo wake kuwa mchezaji huyo hatauzwa kokote.
Barcelona ilimpiga bei Neymar kwa dau la pauni 200 milioni na sasa wanaamini kiungo huyo wa Brazil ndiye mbadala sahihi wa Neymar aliyejiunga na PSG.

Comments
Post a Comment