Chelsea yahamia kwa Van Djik.


Kocha wa Chelsea Antonio Conte yupo mbioni kuweka sawa mpango wa kumsajili beki wa Southampton Virgil Van Djik.

Conte anataka kutumia udhaifu wa 
Liverpool ambayo imeonesha wazi kukaidi kiwango cha pesa kilichowekwa na Southampton baada ya kuazimia kumpeleka ofa ya £50 milioni na zaidi.

Licha ya Van Djik kuvutiwa kujiunga na Liverpool lakini huenda akatua Chelsea kutokana na ofa hiyo nono itakayotolewa na blues hao.

Comments