Mwamuzi bora wa mwaka 2016/17 Elly Sassi ndiye atakayeamua mchezo wa ngao ya jamii utakaowakitanisha watani wa jadi Simba na Yanga Agosti 23 mwaka huu.
Elly Sassi mwenye miaka 28 ndiye aliyeibuka mshinda kwenye kinyang'anyiro cha kuwania tuzo ya mwamuzi bora kwa mwaka 2017/18.
Comments
Post a Comment