Hii ni bad news kwa mashabiki wa Yanga baada ya mahakama kushikiza kupigwa kwa mnada jengo hilo ambalo mtaa wa Kaunda Jangwani.
Yanga inadaiwa kodi ya Jengo kiasi cha milioni 300 na serikali ambacho hakijalipwa.
Siku ya Mnada imepangwa kuwa tarehe Agosti 19 mwaka huu ambayo ni kesho kutwa na mnada utaanza saa 4 asubuhi chini ya kampuni ya Msolopa Investment.
Taarifa hiyo imeonekana kuwashtua viongozi mashabiki wengi wa Yanga.

Comments
Post a Comment