Aliyewahi kuwa mshambuliaji wa zamani wa Real Madrid Jesse Rodriquez amejiunga na Stoke city kwa mkopo.
Jesse mwenye miaka 24 bado ameshindwa kuonesha makali yake tangu alipojiunga na PSG akitokea Real Madrid.
Raia huyo wa Hispania aliitumikia Las Palmas kwa mkopo msimu uliopita na ujio wa Neymar umempeleka England kwa mkopo ikiwa ni mara ya pili tangu alipotua PSG.

Comments
Post a Comment