Manchester United imedhihirisha kauli ya Mourinho aliyesema sasa yupo tayari kwa mapambano baada ya kuichapa Swansea 4-0 katika uwanja wa Liberty.
Mabao ya ushindi yamewekwa nyavuni na beki kisiki Erick Bailly aliyefunga dakika ya 45, Romelu Lukaki dakika ya 80, Paul Pogba dakika ya 82 na Anthony Martial dakika ya 84
Man Utd imekusanya pointi 6 na jumla ya pointi 6, na magoli 8 mpaka sasa haijaruhusu nyavu zake kuguswa na wapinzani.

Comments
Post a Comment