Timu ya Liverpool imetangaza kupata mdhamini mpya ambaye ataongezeka
kwenye jezi yao.
Klabu hiyo ya England imepokea udhamini mpya kutoka kwa kampuni ya Western Unions inayoshughulika na huduma za uhamishaji pesa.
Nembo ya mdhamini huyo itawekwa kwenye upande wa bega la kushoto kwenye kila jezi ya mchezaji.

Comments
Post a Comment