Timu ya Manchester city inajiandaa kupeleka ofa ya £25 milioni ambayo ni ya pili kwa West From ili kumsajili beki John Evans.
Awali timu hiyo ilipeleka ofa ya £18 milioni ambayo ilichomelewa na meneja wa timu Tony Pulis.
"Timu yetu haitamuachia John Evans, tunasema kuwa hatuwezi kumuuza." Alisema Tony Pulis.
Meneja wa Manchester City Pep Gurdiola anavutiwa na uwezo na uwezo mkubwa kumiliki mpira alionao John Evans ambaye aliwahi kuitumikia Manchester United hapo nyuma.

Comments
Post a Comment