Timu ya Manchester United imeonesha kuwa ipo vizuri msimu huu baada ya kuichapa West Ham bao 4-0 katika uwanja wa Old Trafford.
Mshambuliaji wa Romelu ndiye aliyefungua ukarasa wa mabao na kufunga mabao mawili katika dakika ya 33 na 52 na mawili mengine yalifungwa na Antony Martial dakika ya 87 na Paul Pogba.
Manchester United imeonekana kuwa imara katika eneo la katikati kutokana na kiwango bora kilichooneshwa na Nemanja Matic pamoja na Paul Pogba.

Comments
Post a Comment