Mshahara kumbakiza Sanchez Arsenal?


Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger anajindaa kutoa ofa nono ya mshahara kwa mshambuliaji Alexis Sanchez.

Wenger anataka kumlipa mchezaji huyo mshahara wa £300,000 kwa wiki ili kumpunguza ushawishi kwa Sanchez ambaye amehaidiwa mshahara mnono na Manchester city na PSG.

Comments