Mshambuliaji nyota wa Brazil Neymar amekubali kusaini mkataba wa miaka 5 katika ya Paris Saint Germain.
Dili hilo lenye thamani ya £198 milioni litakamilika siku ya Ijumaa baada ya Neymar kutua katika jiji la Paris.
Tayari nyota wa Barcelona Lionel Messi kupitia ukarasa wake wa twitter amemtakia kila kheri nyota huyo kwenye maisha yake mapya baada ya kudumu Camp Nou kwa miaka 4.

Comments
Post a Comment