Timu ya Liverpool itachuana na Hoffenheim ya Ujermani katika mchuano wa kusaka tikiti ya kushiriki ligi ya mabingwa barani Ulaya.
Liverpool ambayo ilimaliza nafasi ya nne msimu uliopita kwa mara ya pili imepata nafasi ya kushiriki ligi hiyo ndani ya misimu nane.
Kocha wa Liverpool anaifahau vema Hoffenheim kwa kuwa amewahi kufanya kazi na baadhi ya klabu katika ligi ya Bundesliga, atakuwa na kibarua kiziti cha kumshinda kocha kijana zaidi barani Ulaya Julius Nagalesmann mwenye miaka 30.
Pia mshambuliaji Roberto Firmino amepata nafasi ya kuchuana na waajiri wake wa zamani Hoffenheim kabla ya kujiunga na ufaransa
ratiba nyingine
Celtic vs Astana
Victors vs Ajax
Napoli vs Nice
Sevilla vs Basaksaher

Comments
Post a Comment