Aliyewahi kuwa kiungo wa Tottenham Paulinho amejiunga na Barcelona kwa ada ya £36.6 akitokea Ghuangzhou Evergrande ya China.
Muda wowote kuanzia sasa Barcelona itamtangaza kiungo huyo kuwa mchezaji rasmi wa timu hiyo.
Licha ya kucheza ligi ya China kiwango cha mchezaji huyo kimeongeza maradufu kwa ubora na kuifanya Barcelona kuisaka huduma yake.

Comments
Post a Comment