Yanga imetanga kuwa imemalizana na Azam FC kuhusiana na sakata la usajili la mchezaji Gadiel Michael.
Michael alikuwa amesaini mkataba wa miaka 2 Yanga na baadae Azam ilidai kuwa bado mchezaji huyo yupo kwenye mkataba.
Jana uongozi wa Yanga ambao ulipokea barua ya Azam hapo juzi walithibitisha kuwa tayari wameshamalizana na Azam na mchezaji huyo ni mali ya Yanga.

Comments
Post a Comment