Ratiba ya leo ligi kuu ya Vodacom 'VPL'


Mshike mshike wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara ndiyo unaanza rasmi siku ya leo kutakuwa na baadhi ya mechi kwenye viwanja tofauti. Eskaone blog inakuletea ratiba kama ifuatavyo leo Agosti 26.

Simba vs Ruvu Shooting, Benjamini mkapa Stadium

Kagera vs Mbao FC, Kaitaba

Mbeya City vs Majimaji, Sokoine Stadium

Mwadui vs Singida Utd, Mwadui Complex

Mtibwa Sugar vs Stand Utd, Manungu

Njombe Mji vs Tanzania Prisons, Njombe

Ndanda FC vs Azam, Nangwanda Sijaona
Agosti 27

Young Africans vs Lipuli FC.

Comments