Simba imeanza kuunguruma kwa kishindo katika mchezo wa ufunguzi dhidi ya Ruvu shooting baada ya kuichapa timu hiyo bao 7-0 katika uwanja wa Taifa.
Mshambuliaji Emanuel Okwi amefunga mabao 4 peke yake, juma Luizio amefunga mara moja, Kichuya pamoja Erasto Nyoni.
Hadi kipindi cha kwanza kinamalizika tayari Simba ilikuwa mbele kwa idadi ya mabao 5-0, kumalizia bao zingine katika kipindi cha pili.

Comments
Post a Comment