Simba yaanza na kipigo Sauz.


Timu ya Simba imeanza majaribio ya kupima kikosi ambacho kimeweka kambi nchini Afrika baada ya kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Orlando Pirates.

Simba imepoteza mchezo huo baada ya kupokea kipigo cha bao 1-0.

Kikosi kilichoanza

1. Said Mohamed ‘Nduda’
2. Ali Shomari 
3. Jamal Mwambeleko 
4. Salim Mbonde 
5. Erasto Nyoni 
6. Jonas Mkude
7. Jamal Mnyate
8. James Kotei
9. John Bocco 
10. Emmanuel Okwi 
11. Mohammed Ibrahim

Comments