Singida Utd imemalizana na mshambuliaji wa Kaizer Chief


Timu ya Singida United imeamaliza zoezi la usajili baada ya kumalizana na mshambuliaji wa Kaizer Chief Michelle Katsviro ambaye amejiunga kwa mkopo.

Katsviro ambaye ni raia wa Zimbambwe anakamilisha usajili wa wachezaji saba wa kigeni ambao hadi kufikia jana ambapo ni mwisho wa usajili Singida ilikuwa imewasajili.

Comments