Sportpesa yamleta Sol Campbell Tanzania


Baada ya Everton Kampuni ya Sportpesa imemleta nchini beki wa Zamani  wa Arsenal Sol Campbell ambaye tayari yupo nchini.

Kombe alipokewa na kundi la mashabiki wa Arsenal muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa mwalimu Nyerere.

Mashabiki hao walipata nafasi ya kupiga kujiselfisha na pia kupiga picha ya pamoja na beki huyo ambaye kuzitumikia Tottenham na Arsenal za England.

Comments