Mshambuliaji wa Arsenal Alex-Oxlade Chamberlain amekamilisha zoezi la vipimo katika timu ya Liverpool jana jioni.
Chamberlain mwenye miaka 24 atajiunga Liverpool kwa mkataba wa miaka 6 na mshahara wa kiasi cha £120000 kwa wiki pamoja na bonasi.
Licha ya Chelsea na Arsenal kufikia makubaliano lakini Chamberlain aligoma kujiunga na 'The Blues' hao na kuipendekeza Liverpool.

Comments
Post a Comment