Ligi kuu ya Vodacom jana ilianza kwa kasi ambapo mbali na Simba SC ambayo ilipata ushindi wa bao 7-0 dhidi ya Ruvu Shooting, haya matokeo ya mechi zingine pia.
Ndanda 0-1 Azam
Njombe 0-1 Prisons
Mwadui 2-1 Singida Utd
Mtibwa 0-0 Stand Utd
Mbeya city 1-0 Majimaji
Kagera 0-1 Mbao.
Comments
Post a Comment