Manchester City wamevunja rekodi iliyowekwa na Liverpool msimu uliopita baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 katika uwanja wa Etihad.
Hali imekuwa tofauti leo ambapo city imetoa kipigo kikali cha mabao 5, ambayo yalizamishwa nyavuni na Gabriel Jesus aliyefunga mara mbili, Sergio Aguero na Leroy Sane ambaye alifunga mabao mawili ya mwisho.
Liverpool ilizoa jumla ya pointi 20 dhidi ya zile timu 6 za juu na kujiwekea rekodi ya kutofungwa na timu 6 bora katika ligi ya England.

Comments
Post a Comment