Mshambuliaji na nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta jana alishindwa kuendelea na mazoezi pamoja na wachezaji wanzake kikosi kutokana na maumivu ya kisigino.
Wakati mazoezi yakiendelea mchezaji huyo alipata majeraha kunako eneo na kutoka nje ya uwanja kutokana na majeraha.
Kwa mujibu wa daktari wa timu hiyo Gilbert Kagadya alisema kuwa hali hiyo haitamfanya Samatta kukosa mchezo wa kirafiki utakaopigwa wikiendi hii dhidi ya Botswana.

Comments
Post a Comment