Timu 5 zilizosajili kwa pesa ndefu England.


Dirisha la usajili limefungwa nchini England, zikiwa zimesalia dakika kidogo kufungwa kwa upande wa Hispania. Klabu za ligi kuu England zimejiwekea rekodi kubwa ya usajili baada ya kutumika kwa kiasi cha £1.

Manchester city inaongoza kwenye orodha hiyo ya matumuzikwa muijibu was Sky sports.

1. Manchester City, £212 milioni.

2. Chelsea, £202 milioni.

3. Manchester United, 169.5 milioni.

4. Everton, £152.9 milioni.

5. Liverpool, £89.5 milioni.

Nyingine ni Tottenham na pamoja na Arsenal.

Comments